Kyela Mjini
Jengo pacha la KBC-zilipo ofisi za kyela FMNotice board ya Kyela FM
Pale juu kabisa ndipo zilipo ofisi za kituo cha Kyela FM na hivi sasa jengo lao lipo kwenye hatua za mwisho za kimatengenezo liweze kukamilika
Huyu ndiye Billy George (The babaland)-Mwandishi na Mtangazaji mahiri wa Kyela FM.
Anaitwa sara zakayo-Mwandishi wa habari na Mtangazaji wa kyela FM
Anaitwa Prakseda mbulu (The Mamaland)-Mwandishi wa habari na Mtangazaji wa kyelaFM
Hiyo ilikuwa ni mwaka 2011 mwanzoni kabisa mwa mwaka,soon nitawaletea picha za hivi karibuni jinsi Radio ilivyo na wafanyakazi waliopo mzigoni.
JibuFuta